Habari za Punde

jitahidini jamani msitutie aibu nyumbani waha hawawawezi kwanza siku hizi mna mwalimu mdhungu au vipi......Mama Salma Kikwete, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Netiboli ya Tanzania, wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Kimataifa ya Netiboli, mchezo wa kwanza ukiwa ni kati ya timu hiyo na Lethoto. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.