| Bondia Omari Zungu akichapana na Haruna Sinondo, wakati wa pambano lao lililochezwa Chanika, mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
| Bondia Said Mkonde (kushoto) akiliana timing na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbelwa alishinda kwa K,o raundi ya pili. |
No comments:
Post a Comment