
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amesitisha ziara yake ya kikazi nchini Kuwait, kufuatia maafa yaliyotokea Jijini Arusha jana kutokana na mlipuko wa Bomu katika Kanisa la
Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment