Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Waziri Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Hussein Ali Mwinyi akifafanua kipengele kimojawapo kilichopo kwenye kitabu cha Hotuba yake  kuhusu  Makadrio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka 2013/2014 kwa baadhi ya waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo baada ya kuiwasilisha bajeyo ya Wizara yake.  

Naibu Waziri wa  Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles  Kitwanga  ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Msungwi akijadiliana  jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa  Tume ya Kikirsto ya Huduma, Peter  Maduki leo  nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Picha na Magreth Kinabo - Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.