Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa Balozi Habib Suleiman Bibi Moza Habib, wakati alipofika nyumbani kwa Marehemu Kilimani mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa jana. Kushoto ni Mama Zakia Bilal na kulia kwa Makamu ni Mama Asha Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shinyanga jana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment