Habari za Punde

*MLIPUKO MKUBWA WATOKEA JIJINI ARUSHA MCHANA WA LEO, WAUA WATU KADHAA NA KUJERUHI WENGI


Mungu uwe upande wetu
Majeruhi wa Mlipuko huo akipata huduma ya kwanza mapama baada ya tukio hilo.
IMEELEZWA KUWA MCHANA WA LEO MAJIRA YA SAA SABA, JIJINI ARUSHA UMETOKEA MLIPUKO MKUBWA WA KITU KINACHODHANIA KUWA NI BOMU. 
MLIPUKO HUO UMETOKEA KATIKA KANISA KATOLIKI PAROKIA MPYA YA OLASITI, ILIYOKUWA KATIKA HARAKATI NA SHAMBRA SHAMBRA ZA KUZINDULIWA RASMI LEO JIJINI HUMO. 
MLIPUKO HUO UMETOKEA WAKATI WAUMINI WA KANISA HILO LA KATOLIKI WAKIENDELEA NA SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA. 

AIDHA IMEELEZWA NA MASHUHUDA KWA NJIA YA SIMU KATIKA MTANDAO HUU KUWA KUWA KUNA WATU KADHAA WAMEPOTEZA MAISHA NA WENGINE WENGI KUJERUHIWA AMBAO WENGI WAO WALIKIMBIZWA HOSPITALI.
eneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu ndipo kilipotua na kulipuka katika Kanisa la Mt Joseph Olasiti Arusha ambapo Balozi wa Papa alikuwa akihudhuria ibada ya Kuzindua Parokia kanisani hapo....eneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu ndipo kilipotua na kulipuka katika Kani

Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia leo asubuhi wakati wa misa ya kuzindua kigango hicho.iliyo katika kata ya olasiti na parokia ya burka.
Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya.Picha kwa hisani ya Blog ya Juma Mtanda, Arusha

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.