Habari za Punde

*NANCY MOSHI ATWAA TAJI LA REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE

Redd’S Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Glory Steven (kushoto) na mshindi wa tatu Neema Kessy mara baada ya warembo hao kutangazwa washindi wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia jana jijini Arusha.
 Warembo wanaliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakicheza show ya ufunguzi wa shindano hilo jijini Arusha usiku wa Kuamkia jana.
 Warembo wanaliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.