Bwana Harusi, Noel Nchimbi, akimvisha pete ya ndoa mkewe Anitha Kanuti, baada ya kufungishwa ndoa yao takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Immaculata, lililopo Upanga jijini Dar es Salaam, leo jioni. Baada ya Ibada ya ndoa yao wanandoa hao wameelekea kuendelea na sherehe ya harusi yao katika Ukumbi wa Milkocheni Resort Centre, ambapo hadi sasa Bonge la 'Party' linaendelea pande hizo.
Bwaba Harusi, Noel Nchimbi, akipozi kwa picha na mkewe, Anitha Kanuti, baada ya kufungishwa ndoa yao takatifu jioni ya leo.
Bwana na Bi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wasimamizi wao kwa picha ya kumbikumbu baada ya kufunga ndoa.



No comments:
Post a Comment