Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU BALOZI ALFRED TANDAU


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika  kaburi la Waziri wa Zamani wa Kazi, Marehemu Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Marehemu Alfred Tandau ambaye  alishika nyadhifa mbalimbali serikalini alifariki tarehe 30 Mwezi Aprili wiki iliyopita.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Mau katika kaburi la Marehemu Balozi Afred Tandau wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam jana  jioni na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.