Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa vikosi vya Ulinzi na usalama wa Pemba, baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Karume,leo jioni kwa ajili ya kuzindua na kuwasha Mwenge wa Uhuru, Chokocho Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali na wananchi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba ,leo.
Dkt. Shein (kulia) akisalimiana na DC wa Chakechake Mwanajuma Magid Abdallah.
Baadhi ya viongozi wa chama na serikali air-port.
Kikundi cha Brass Band ya vijana Pemba kikitumbuiza. Picha na Mwanakombo-Jumaa Maelezo


No comments:
Post a Comment