Habari za Punde

*SIMBA YAGOMEA GWARIDE LA RUVU SHOOTING YATOA DOZI YA 3-1


Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto) akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting,  Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-1. Picha na Habari Mseto
Mshambuliaji wa Simba, Amri kihemba akimtoka beki wa Ruvu Shooting.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.