Vijana wa Halaiki wapato 500, wakiwa kwenye shambra shambra za sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru zilizofanyika jana Chokocho Pemba.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein, akizindua mnara wa kumbukumbu chokocho, jana wakati wa sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru.
Sehemu ya vijana wa Halaiki kati ya 500.
Wakimbiza mwenge 2013, wakiwa katika gwaride......
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa mwenge wa uhuru
Mwalimu wa halaiki akimsaidia kijana wake kumfunga kiatu. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment