Mwanamke ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akipiga magoti kwa heshima pembeni mwa barabara baada ya kuona msafara wa kiongozi ukipita eneo hilo na kuamua kusimama na kisha kutoa heshima kwa kupiga magoti hadi msafara huo ulipomalizika. Je heshima kama hii inaweza kupatina mjini katika zama hizi???
Msafara huo wakati ukiishia na kumuacha Mama huyo akiwa amepiga magoti...
Heshima kama hii siku hizi imebaki vijijini tu, mijini kila mtu yupo bize.....
No comments:
Post a Comment