Habari za Punde

*MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amewabeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. 

Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwahisani ya AICC). 
******************************
Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni akiwa na afya njema. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.