Habari za Punde

*MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR HATARI TUPU

Mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam, kuanzia jana na leo zimesababisha baadhi ya maeneo na barabara za jijini kujaa maji kama inavyoonekana barabara hii ya Kimataifa 'International Road' ikiwa imejaa maji na kusababisha msongamano mkubwa wa magari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.