Habari za Punde

*RAIS, DKT. MAUFULI, MAKAMU WAKE, RAIS MSTAAFU, MAKAMU WAKE WASHIRIKI KUAGA MWILI WA LETICIA NYERERE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal walipokutana Msasani Dar es salaam leo Januari 20, 2016 wakati wa kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho leo Januar 20,2016 wakati wa Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulia na Rais mstaafu Dkt. Jakaya M Kikwete, wakizungumza walipokutana leo Januari 20, 2016  Msasani Dar es salaam kwenye shuhuli  ya kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.