Askari wa JWTZ wakiwa majini eneo la Feri wakiendelea kutafuta miili ya watu waliozama Baharini baada ya gari lao aina ya Hiace kuteleza kutoka kwenye Pantoni na kutumbukia majini majira ya saa 11 alfajiri. Imeelezwa kuwa gari hiyo ilikuwa na watu wawili mwanamke na mwanaume na tayari mpaka sasa umeshapatikana mwili mmoja wa mwanaume ulioopolewa majira ya saa tatu asubuhi hii na bado askari hao wanaendelea kutafuta mwili mmoja wa wanamke.
Askari hao wakiendelea kutafuta mwili wa mwanamke .....
No comments:
Post a Comment