Habari za Punde

*TIMU YA UCHUKUZI YAENDELEA KUJIFUA DODOMA KUJIANDAA NA MEI MOSI

 Dr. Hawa Senkondo akiongoza jahazi la kuvuta kamba la Uchukuzi SC kwa wanawake, wakiwa katika mazoezi na timu ya wanaume ya Uchukuzi SC.
 Kocha Abuno Issa (kustoto) akitoa maelekezo kwa timu ya wanawake ya Uchukuzi SC. 
  Kocha Abuno Issa (kulia) akitoa maelekezo kwa timu ya wanaume ya Uchukuzi SC.
 Kocha Abuno Issa (kulia) akielekeza timu ya wanawake ya Uchukuzi SC jinsi ya kuvuta kamba, wakati kushoto haonekani vizuri katika picha ni Nagalali Mollel.
 Timu ya kuvuta kamba ya Uchukuzi SC ikiwa katika mazoezi.
 Nicas Luanda akiongoza timu ya wanaume ya Uchukuzi SC kuvuta kamba katika mazoezi.
 Nicas Luanda akiongoza timu ya wanaume ya Uchukuzi SC kuvuta kamba katika mazoezi.
 Timu ya wanawake ya Uchukuzi SC wakishangilia baada ya kuwavuta wanaume katika mazoezi.
Timu ya wanaume wa Uchukuzi SC wakiwa wamekaa chini baada ya kuvutwa na timu ya wanwake.
Sharifa Mustafa (mwenye mpira) akiangalia wa kumrushia wakati (katikati) Mayasa Hamidu  akitazama.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.