Kina mama wafanyabiashara wa Kikundi cha Wakamua Utumbo wa Kuku, katika Soko la Mtambani jijini Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa bize kuandaa biashara yao ya Miguu, Utumbo na Vichwa vya Kuku kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika Soko hilo.
UA YAANZISHA MITAALA YA UALIMU WA AMALI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA
VIJANA
-
Na Farida Mangube, Morogoro
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanzisha mitaala mipya ya Ualimu
wa Amali kwa ajili ya walimu wa shule za seko...
50 minutes ago
No comments:
Post a Comment