Mtoto wa mitaani ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiwa amedandia nyuma ya Bajaji wakati ikiwa katika mwendo kama alivyokutwa na mpiga picha kwenye Barabara ya Uhuru jijini Dar es Salaam, jana jambo ambalo ni hatari kwa usaalama wake.
CHAN 2024 : Dar Kuzizima Ufunguzi wa CHAN24
-
Na Rahel Pallangyo
ARDHI ya Tanzania kwenye mji wenye pilikapilika, Dar es Salaam Agosti 2,
mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa utashuhudiwa uf...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment