Habari za Punde

WLAC ILIVYOWAFUNDA WATENDAJI NA MAAFISA WA SERIKALI ZA MITAA

Mratibu wa mradi wa Uwezeshaji Jamii Kisheria juu ya haki za ajira na Mwanasheria wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake WLAC, Consolata Chikoti, akitoa mafunzo kwa wa mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika maalumu kwa ajili ya Watendaji na Maafisa wa Serikali, kuhusu Ukiukwaji wa Haki na Sheria za Ajira. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Hateli ya Chichi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Media
Sehemu ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo......
Mafunzo yakiendelea.......................
Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo...........................
Mratibu wa mradi wa Uwezeshaji Jamii Kisheria juu ya haki za ajira na Mwanasheria wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake WLAC, Consolata Chikoti, akitoa mafunzo kwa wa mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika maalumu kwa ajili ya Watendaji na Maafisa wa Serikali, kuhusu Ukiukwaji wa Haki na Sheria za Ajira. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Hateli ya Chichi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Washiriki wakiwa makini kufuatilia mafunzo hayo......................
Mratibu wa mradi wa Uwezeshaji Jamii Kisheria juu ya haki za ajira na Mwanasheria wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake WLAC, Consolata Chikoti, akitoa mafunzo kwa wa mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika maalumu kwa ajili ya Watendaji na Maafisa wa Serikali, kuhusu Ukiukwaji wa Haki na Sheria za Ajira. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Hateli ya Chichi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.