wakati akiingia kwenye hafla hiyo ya kukabidhi vyandarua.
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika ya Kusini, Yvonne Chaka Chaka (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati alipofika kwa ajili ya kukabidhi
vyandarua kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Wasichana, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Taifa kutokomeza Malaria 'Malaria Haikubaliki'. Vyandarua hivyo vilitolewa na Kampuni ya
Vyandaru ya A to Z ', katika shule hiyo jana. Kulia ni Mratibu wa kampeni hiyo, Anna
McCartney-Melstad, (kushoto) ni Ofisa mafuzo wa Right to Play, Godfrey Boniface.
No comments:
Post a Comment