Habari za Punde

*PTA MAPAMBANO YA UTANGULIZI YAMEANZA, ASHA NGEDELE AMCHAPA NDALA NDEFU

Mabondia wa kike Mwajuma Ndala Ndefu (kushoto) akipokea konde zito kutoka kwa Asha Ngedele, wakati wa pambano lao la utangulizi la Raundi 4, lililomalizika hivi punde. Katika pambano hilo, Asha Ngedele ameshinda kwa Pointi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.