Bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Mrisho Ngassa, katika dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza, limeiwezesha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenda mapumziko ikiwa inaongoza kwa bao 1-0. Pamoja na bao hilo stars pia wamweza kupata nafasi kadhaa ambazo hawakuweza kuzitumia vyema.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment