Habari za Punde

Baba tangulia tu, lakini ujue huku nyuma umetuachia majonzi na......... Mmoja kati ya watoto wanne wa marehemo Mpakanjia, Abdulrahim Mohamed, akitia mchanga wa mwisho kwenye kaburi la baba yake, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.