Habari za Punde

Eeeeh we Senga hebu sogeza huko kakamera kako bwana mie sioni.... Mapaparazi nao hawako nyuma katika kuhakikisha wasiohudhulia mazishi hayo, wanapata kila lililojiri makaburuni, (kulia) ni Baba mzazi wa marehemu Amina, mzee Hamis Chifupa, eti naye yuko bize kunasa kumbukumbu muda wote wa mazishi, KULIKONI?.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.