Habari za Punde

Jamani nakufa mie....siamini kama kaondokaaaaaa....Kinamama nao kama ilivyo kawaida yao kila mmoja alikuwa akilia kwa staili yake, hii yote inaonyesha ni jinsi gani marehemu alikuwa na msaada mkuwabwa na mahusiano mazuri na watu wote, hapa ni nyumbani Sinza Mori.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.