Habari za Punde

Mnaona paleeee, ndo inapopitia bia baada ya kuchyjwa si mmeona eeeeh!....Ofisa Utengenezaji wa Bia katika Kiwanda cha TBL, Cavin Nkya (katikati), akiwaelekeza jambo warembo wa shindano la Vodacom Miss Tanzania, jinsi bia inavyanza kutengenezwa wakati walipotembelea kwenye Kiwanda hicho jijini Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya Ziara ya kimafunzo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.