Habari za Punde

Watoto wachuana kucheza miondoko ya EXTRA BONGO

Nasisi tunaweza kama Bob Kisa, teh teh teh teh........... Watoto wakichuana kucheza miondoko ya bendi mpya ya Extra Bongo, wakati wa onyesho maalum la watoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jana, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.