Mratibu wa Tamasha la muziki ‘Cultural Music Festival’, Rachel Dove, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha hilo linalotarajia kufanyika Kizimkazi mjini Zanzibar kuanzia Desemba 29-31 mwaka huu. Tamasha hilo litawajumuisha wasanii wanaotengeneza Sanaa kwa kutumia Takataka. Kulia ni mmoja kati ya wasanii hao, Kani kaze. Picha na (SPM)
No comments:
Post a Comment