
Hawa ni baadhi tu ya wakazi wa Kilosa wakivuka eneo hili lililojaa maji kuelekea katika shughuliz zao za kuwapatia riziki, hali hii ikiendelea yaweza kutokea makubwa zaidi ya yale yaliyotokea Same mwezi mmoja uliopita, wakazi waliowengi wa Wilaya ya Kilosa wamekuwa wakihaha kuhamisha familia zao, mizigo na mifugo ili kujihami na mafuriko haya.
Picha kwa hisani ya Full Shangwe
No comments:
Post a Comment