Baadhi ya Magari ya mizigo zaidi ya 40 yakiwa yamebeba chakula cha misaada ya wakimbizi wa kisomali yakiwa yamekwama kutokana na barabara kuharibika kwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Kenya. Picha Kwa Hisani ya www.bbcswahili.com
Kwanini Jenerali Mkunda amekutana na Tume ya Uchunguzi
-
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Desemba 30, 2025,
amefika mbele ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani
yaliyojito...
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment