Habari za Punde

*TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MEZA YAREJEA NA USHINDI MNONO

Wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa Meza, kutoka (kushoto), Fathia Hassan, Masoud Issa, Rashid Sharif na Rose Nikwa, wakipozi na makombe yao waliyoshinda nchini Malawi. Picha na (SPM)

Nahodha wa timu ya Taifa ya Mpira wa Meza, Rashid Sharif, (kulia) akimkabidhi Vikombe Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Meza Tanzania, Ain Sharif, mara baada ya kurejea nchini kutoka katika mashindano la nchi nne ya mchezo huo yaliyomalizika hivi karibuni, Lilongwe Malawi, ambapo Tanzania imekuwa mshindi wa kwanza na wa jumla na kuchukua vikombe vingi vya Dhahabu. Katikati ni wachezaji wa timu hiyo, Rose Nikwa, Masoud Issa na Fathia Hassan.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.