
Hawa ni waumini wa dini ya kikristo wa Kanisa la Mtakatifu Joseph, wakitoka katika ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyosaliwa kitaifa katika kanisa hilo, ambayo ilisalishwa na Askofu Kilaini aliyekuwa akienesha ibada hiyo kwa mara ya mwisho kabla ya kuondoka jijini kuelekea Mkoani Kagera ambako anakwenda kuwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba. Picha na (SPM)
No comments:
Post a Comment