
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zain, Costantine Magavilla (kulia), Mkurugenzi wa Utumishi Zain Tanzania, Perece Kirigiti (katikati) na Meneja Huduma wa DSTV, Baraka Shelukindo, wakionyesha vipeperushi vinavyoonyesha namna ya kutumia huduma ya Zap kulipia huduma ya DSTV kupitia simu ya Mkononi ya Zain, wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)
No comments:
Post a Comment