Mchezaji wa timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel E’too, akiwa kwenye chumba cha habari wakati nchini Kenya, wakati akihojiwa mara baada ya timu yao kuwasali nchini humo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Arambee Stars ya nchini humo.
TASAC YANUNUA BOTI MBILI ZA UTAFUTAJI NA UKOAJI TANGA NA KIGOMA
-
Muonekano wa boti mbili za Utafutaji na Uokozi zinazokwenda kutoa huduma
Ziwa Tanganyika na Tanga.
Kaimu Meneja wa Usajili na Ukaguzi wa Shirika la Uwaka...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment