Habari za Punde

*MAN U ILIVYOISAMBARATISHA MAN CITY OLD TRAFFOLD














Wayne Rooney akipiga kichwa kufunga bao la ushindi, mbele ya mabeki wa Man City, katika mchezo huo uliochezwa jana usiku Man United ilishinda 3-1.




















Wachezaji wa Manchester United wakishangilia ushindi.














Rooney akishangilia baada ya kufunga bao dhidi ya Man City.














Paul Scholes (kulia) akiifungia bao Manchester United wakati wa mchezo hu.




















Patrice Evra (kulia) akichuana kuwania mpira na Carlos Tevez.




















Pablo Zabaleta (kulia) akizozana na Wayne Rooney, wakati wa mchezo huo.




















Nani wa Man U, akiruka kumiliki mpira wakati wa mchezo huo.














Michael Carrick (katikati) akifunga bao la pili dhidi ya Man City na kuwaacha mabeki wa timu hiyo wakizubaa wasijue la kufanya.




















Craig Bellamy wa Man City, akiugulia maumivu kwa kupigwa na chupa ya pia na mashabiki waliokuwa jukwaani wakati akiwa uwanjani Old Trafford.




















Craig Bellamy (kushoto) akichuana na Michael Carrick.




















Carlos Tevez akishangila bao la kufutia machozi alilofunga dhidi ya Man U wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.