
Maji yakiwa yamejaa kwenye barabara ya Goba eneo la Samaki Mbezi Beach Dar es Salaam baada ya mvua kunyesha kwa masaa kadhaa jiji jana. Picha na (SPM)

Magari yakiwa kwenye foleni iliyosababishwa na maji yaliyokuwa yamejaa kwenye daraja hili eneo la Samaki Mbezi Beach jana.
No comments:
Post a Comment