Hawa jamaa ni noma walikuwa wakituchukulia hadi vijisamaki hivi.........Hongera sana Magufuli..
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wapili kushoto) akionyeshwa samaki wadogo ambao ni miongoni mwa samaki waliokamatwa katika meli ya uvuvi haram, wakati alipofanya ziara katika Kiwanda cha Samaki na kukagua vifaa vya uvuvi vilivyokamatwa ambavyo vipo kwenye Kituo cha Polisi cha Centre jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, (katikati) ni Mkurugenzi wa Deep Fish Authority, Geofrey Nanyaro
IVORY COAST NA CAMEROON NGOMA DROO, ZAFUNGANA 1-1 MOROCCO
-
TIMU za Ivory Coast na Cameroon zimegawana pointi baada ya sare ya
kufungana bao 1–1 katika mchezo wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya
Afrika (AFC...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment