"Tupo nyuma yako, ukawashuhudie wanaume Angola na Ghana"........
Mkuu wa Idara ya Masoko wa Benki ya Stanbic, Abdalaah Singano (kushoto) akimkabidhi kitita cha fedha mshindi wa shindano la Droo ya‘Conect Score and Win’ Sevelini Mtikila, kwa ajili ya kuelekea nchini Angola kushuhudia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, kati ya Angola na Ghana. Katikati ni Meneja Mauzo wa Benki hiyo, Lilian Kitomari na mtoto wa mshindi huyo, Blayton Sevelini.
No comments:
Post a Comment