Menu

Tuesday, February 23, 2010

*AKUDO KUZINDUA ALBAM YA HISTORY NO CHANGE















Kiongozi wa bendi ya Akudo Impact 'Wazee wa masauti' Christian Bella, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, wakati wakitangaza mikakati ya bendi hiyo kuhusiana na albam yao mpya inayokwenda kwa jina la 'History No Change', inayotarajia kuzinduliwa hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa bendi hiyo, Michael Andrew.



Kiongozi wa bendi hiyo, Christian Bella (wapili kulia) akiimba na wanamuziki wenzake, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa Kampeni ya kuitangaza Albam yao ijayo ya ‘History No Change’ , inayotarajia kuzinduliwa hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment