Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Diproma ya Uandishi wa Habari katika Chuo cha Time School Of Journalism (TSJ), wakiwa na furaha mara baada ya kupokea vyeti vyao wakati wa Maafali ya tisa ya Chuo hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Ilikuwa ni furaha kwa kila mhitimu wa kozi hiyo Chuoni hapo, huyu ni mmoja kati ya Wahitimu, Agness Shayo, akimlisha Keki Naniliu wake wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu na kukabidhiwa vyeti vyao iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msiambazi Center Dar es Salaam leo mchana.
Agnes Shayo, akiandaa keki yake kwa ajili ya kuwalisha ndugu na jamaa zake wakati wa hafla hiyo.
Samirah Kiango, akipoke Cheti, wakati wa hafla hiyo leo mchana, pia Samira aliweza kutunukiwa cheti maalum cha kuwa mwanafunzi Bora kwa upande wa Utangazaji.
Mmoja wa wahitimu akiwa na nduguze kwa furaha mara baada ya kupokea Cheti chake.
No comments:
Post a Comment