"Duh! sijui wataniswela lupango tena na leo"?. Miss Tanzania, Miriam Gerard, akiingia kwenye Mahakama ya Mwanzo Kinondoni Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili, ambayo imeghailishwa hadi April 21 mwaka huu.
"Afadhali imeahirishwa wacha bitoweke maeneo haya fasta, kwani mimacho ya watu duh!"
Miriam, akiingia kwenye gari lake wakati akiondoka kwenye Mahakama hiyo baada ya kesi yake kuahirishwa.
No comments:
Post a Comment