Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume (kulia) , akizungumza na Mabalozi wateule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za nje, Balozi wa nchini Saudi Arabia, Prof Abillah Omar, (katikati) Dk. James Mwasi nchini wa Bujumbura-Burundi, waliofika kumuaga Rais , Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu
No comments:
Post a Comment