Habari za Punde

*RAMADHANI, ASKARI WA TANZANIA ALIYE MSARI WA MBELE KULINDA AMANI DAR FUR














Ramadhani Marijani (kulia) akipimwa kabla ya kuanza kazi ya kulinda amani Dar Fur, baada ya kutoka mapumzikoni jijini Dar es Salaam hivi karibuni.















Mmoja wa Askari wa UN, kutoka nchini Tanzania, Ramadhani Marijani (mwenye magwanda) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya masheikh wa Dar fur.
Here is a UN police adviser from TANZANIA after his free class with Sheik of Sheiks on community policing in Dar fur Sector South Nyala. It's advisable to have the same classes in our country to make sure that all Tanzanian they know and understand on community policing that will give them alertness on stay safe on their lives and properties. Nothing impossible. YES WE CAN.














Askari wetu wa Tanzania, Ramadhani Marijan (wasita kutoka kulia) akiwa na baadhi ya askari wenzake wanaofanya shughuli za ulinzi wa amani Dar fur nchini Sudani.













Ramadhani, akiwa katika shughuli za kijamii na watoto wa Dar Fur.
Sensitizing new generations on the effects of war and give them moral to stay safe and to have a confidence on reporting incidents when occurred to Government Police. This called confidence building in the community and it's began from the young generations to old mans/woman's.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.