Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akijaribu kuwatoka mabeki wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare kwa kufungana 1-1. Simba walifanikiwa kusawazisha goli hilo katika dakika ya 81 ya mchezo huo, wakati wadogo zao waliandika bao la kuongoza katika dakika ya 5 ya kipindi cha kwanza cha mchezo.
No comments:
Post a Comment