Menu

Wednesday, February 24, 2010

*ZUNGU AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA ILALA




Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu (wapili kushoto) akikagua ujenzi wa daraja linalojengwa katika barabara ya Uhuru Ilala, wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo, unaotarajia kukamilika mapema mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment