Menu

Saturday, March 13, 2010

BREKING NYUZZ:- MELI YA MV SERENGETI YAWAKA MOTO MJINI ZANZIBAR

Habari zilizoifikia Sufianimafoto kwa njia ya simu kutoka kwa mdau wa Blog hii, zinasema kuwa Meli ya Mv Serengeti iliyokuwa ikifanya shughuli zake katika Bahari ya Hindi , inawaka moto katika Bandari ya Zanzibar wakati ilipokuwa ikijiandaa kuanza safari yake kuelekea Pemba. Habari zinasema kuwa tayari Kikosi cha zima moto cha mjini Zanzibar kimeweza kuwahi tukio hilo na hadi tunapata taarifa hizi bado kinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

No comments:

Post a Comment