Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, Elirehema Kaaya, akitangaza nia yake ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ambapo atakuwa akichuana na mbunge wa sasa, Jeremia Sumari, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi.
No comments:
Post a Comment