*KAKOBE ANYWEA, TANESCO WAPITISHA NYAYA MBELE YA KANISA LA KAKOBE
Mafundi wa Shirika la Umeme (Tanesco) wakiondoa mabango ya matangazo yaliyokuwa mbele ya Kanisa la Kakobe Mwenge Dar es Salaam kwa ajili ya kupitisha nguzo za umeme mkubwa katika eneo hilo.
Askari Polisi akilinda usalama eneo hilo wakati zoezi likiendelea kwa kile kilichodaiwa waumini wa Kanisa hilo kujiandaa kuwazuia mafundi kufungua nguzo hizo.
No comments:
Post a Comment